iqna

IQNA

daesh au isis
Ripoti
IQNA-Wakuu wa mahakama nchini Iraq wametangaza kuwa familia ya Abu Bakar al-Baghdadi, kinara wa zamani wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) imesailiwa baada ya kurejeshwa Iraq kutoka nje ya nchi.
Habari ID: 3478367    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/17

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na familia za watu waliouawa shahidi katika shambulio ya kigaidi la Haram ya Shah Cheragh AS mjini Shiraz na kusema kuwa, shambulio hilo limeifedhehesha Marekani na kuonesha unafiki wao na roho zao mbaya.
Habari ID: 3476275    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/20

Jinai dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Intelijensia (Usalama) ya Iran imesema kuwa, vikosi vya usalama nchini vimewatia mbaroni magaidi 26 wakufurishaji ambao walihusika na shambulio la hivi karibuni la kigaidi kwenye Haram Takatifu ya Shah Cheragh katika mkoa wa kusini wa Fars na kuongeza kuwa, mratibu mkuu wa machafuko hayo hatari ni raia wa Jamhuri ya Azerbaijan.
Habari ID: 3476053    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/07

Ugaidi Afrika
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimechapisha ripoti inayoashiria ongezeko la operesheni za kigaidi katika nchi za Afrika mwezi Septemba na kutaka kuongezwa hatua za kimataifa za kukabiliana na ongezeko la ugaidi katika bara hilo
Habari ID: 3475886    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

Vita dhidi ya ugaidi
TEHRAN (IQNA) - Mashirika ya Umoja wa Mataifa yametakiwa kuacha kutumia neno 'Dola la Kiislamu' yanapotaja kundi la kigaidi la Daesh au ISIS.
Habari ID: 3475603    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10